Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2022

Stalk files

 

Wallpapers 4k quality any smartphone πŸ‚πŸ‚Don’t miss

Sensa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ 2022

Picha
  Sensa Lugha Fuatilia Edit Sensa  ni utaratibu wa kupata na kutunza habari kuhusu  idadi  ya  watu , makazi au  taasisi  fulanifulani katika nchi husika. Pia ni utaratibu rasmi wa mara kwa mara wa kuhesabu idadi ya watu hao. [1]   [2] Sensa za mwisho duniani kote (2013). Sensa hutofautiana na njia ya  sampuli ambapo habari zinapatikana kutoka sehemu ndogo tu ya idadi ya watu, wakati mwingine kama  makisio ya kisensa .  Takwimu  za sensa kwa kawaida hutumiwa kwa  utafiti , biashara ya  masoko , na mipango kama njia bora kwa msingi wa utafiti wa sampuli. Katika baadhi ya nchi, takwimu za sensa hutumiwa kwa kugawanya uwakilishi katika  bunge  la  taifa  (wakati mwingine kiutata - tazama mfano Utah v. Evans). Inatambulika sana kwamba idadi ya watu na makazi ni muhimu kwa ajili ya mipango ya  jamii  yoyote. Njia za  jadi  za sensa, hata hivyo, zimekuwa ghali zaidi. Gharama Edit Sher...